Mahakama ya kadhi / islamic court
Tizama video kisha jibu maswali yafuatayo. 1. Bunge la katiba limekubali kuingiza mahakama ya kadhi katika katiba? a) Sio, haikukubali....
Je, ni kweli watu wengi wanaishi kitumwa?
Msamiati : maonyesho : exhibition utumwa: slavery utumwa mambo leo: modern slavery kisiri: secretly ukahaba wa lazima: forced...
Mbona kuna uhaba wa sukari
Msamiati mfumuko wa bei : inflation uagizaji kutoka nje: import kuuza nje: export biasharanje: export uzalishaji wa ndani : local...
Magari ni ndoto kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar
Msamiati / vocabulary licha ya: despite mkazi: inhabitant serikali: goverment changamoto: challenge kipaumbele: priority ujenzi:...
0:02 / 1:13 Asili yao ni Goa lakini ni Watanzania
Msamiati/ vocabulary: kizazi: generation asili: origin Mreno: Portuguese juzijuzi: recently wenyewe: themselves mwenyeji: native...
ANGALAU –– INGAWA- INGAWAJE - ANGALI …
Lazima kuwa makini kutochanganya viunganishi hivi ( angalau, ingawaje, angali, ingawa...) na kuvitumia vizuri. 1. Kiunganishi cha angalau...
Kibonzo / Comic drawing (cartoon)
Msamiati/ vocabulary farakano : separation, break up jarida (ma-): journal, magazine burudisho: entertainment kibonzo: cartoon msanii:...
Mchezo wa bao
1. Sikiliza mwanzo wa video na andika chini nambari hizi zinahusu nini. Listen to the first part of the video and note down what these...
Usonji nchini Tanzania/ Autism in Tanzania
Asili: BBC Kiswahili Msamiati/ vocabulary usoniji : autism mtoto mwenye usonji: autistic ufahamu miongoni mwa jamii: awarness among...
Kibonzo/ cartoon
Elezea mchoro huu wa mkanda wa video na elezea pia ujumbe wake. Describe the drawing of this video and explain its message. Msamiati/...