Usonji nchini Tanzania/ Autism in Tanzania
- A. Ferrari
- 10 avr. 2016
- 1 min de lecture
Asili: BBC Kiswahili
Msamiati/ vocabulary
usoniji : autism
mtoto mwenye usonji: autistic
ufahamu miongoni mwa jamii: awarness among society
-athiri: affect
changamoto: challenge
matibabu: treatment
huduma za afya: health care
uwekezaji: investment
Tizama mkanda wa video kisha jibu maswali yafuatayo/ Watch the video then answer the questions below.
1. Mvulana wa kwanza katika video, hawezi kuongea lakini anakuwa hodari kwa shughuli gani?
2. Ugonjwa wa usonji una madhara gani?
3. Kwa nini ni vigumu kulea mtoto mwenye usonji hasa nchini Tanzania?
4. Mwandishi wa habari anasemaje kuhusu utafiti kuhusu usonji nchini Tanzania?
5. Kuna shule ngapi za watoto wenye usonji nchini Tanzania?
6. Kwa nini waalimu hawatoshi?
7. Ufahamu miongoni wa jamii unatosha?
8. Tafsiri kwa Kiswahili anachokisema mwanamke anayezungumza kwa Kiingereza.
9. Kitu kipi kinahitajika kuboresha huduma kwa wagonjwa hawa?
Kuzungumza/ speaking
Usonji ni suala kubwa unapoishi? Is Autism a major issue where you live?