Je, ni kweli watu wengi wanaishi kitumwa?
- A. Ferrari
- 2 juin 2016
- 1 min de lecture
Msamiati :
maonyesho : exhibition
utumwa: slavery
utumwa mambo leo: modern slavery
kisiri: secretly
ukahaba wa lazima: forced prostitution
haramisha : prohibit
biashara ya utumwa: slavery trade
peupe: publicly
viboko: whip
okolewa: be saved
utumwa wa kisasa: modern slavery
teseka : suffer
mwanaharakati: activist
kazi ya lazima: forced labour
Jibu maswali yafuatayo.
1. Video hii inahusu maonyesho juu ya nini?
2. Milango huwakilisha nini? Mimea huwakilisha nini?
3. Taja mifano miwili au mitatu ya utumwa mamboleo.
4. Mti aina wa mwaloni unawakilisha nini?
5. Mtu wa kwanza aliyetunga sheria kuharamisha utumwa alipata mawazo hayo wapi ?
6. Utumwa unafanyika siku hizi kisiri au peupe ?
7. Siku hizi waathiriwa wa utumwa wanateseka bila kugunduliwa?
Comentários