Rechercher
Kibonzo/ cartoon
- A. Ferrari
- 9 avr. 2016
- 1 min de lecture
Elezea mchoro huu wa mkanda wa video na elezea pia ujumbe wake.
Describe the drawing of this video and explain its message.
Msamiati/ vocabulary
mahari : dowry
kibaka: vagabond
-faulu: succeed
Mchoro huu unaonyesha msichana mmoja anayerudi kutoka shule ...
Ujumbe wa mchoro ni kusema kwamba wazazi wanaotaka .....
Kuzungumza/ speaking
Jadili: Mila ya kulipa mahari inaweza kutoweka hivi karibuni kwa vizazi vijavyo nchini Tanzania?
Comments