Rechercher
Kibonzo / Comic drawing (cartoon)
- A. Ferrari - BBC Video
- 19 avr. 2016
- 1 min de lecture
Msamiati/ vocabulary
farakano : separation, break up
jarida (ma-): journal, magazine
burudisho: entertainment
kibonzo: cartoon
msanii: artist
tija: productivity
mfumo wa usambazaji: distribution system
kuzalisha wasanii: product artists
Tizama video kisha jibu maswali yafuatayo/ Watch the video then answer the questions below.
1. Kingo ni nini/nani?
2. Mchoraji anahakikisha kwamba Kingo inagusa nini?
3. Elezea picha tatu zinazohusu farakano ya ndoa.
4. Kwa nini kulikuwepo na majarida mengi zamani?
5. katika video hiyo, mchoro wa mtalii una ujumbe gani?
6. Kazi ya kampuni ya mchoraji ni kuchapisha majarida tu ?
7. Kilichoua majarida mengi ni matatizo gani ?
Yorumlar