Mchezo wa bao
- A. Ferrari
- 11 avr. 2016
- 1 min de lecture
1. Sikiliza mwanzo wa video na andika chini nambari hizi zinahusu nini.
Listen to the first part of the video and note down what these numbers refer to:
minane au tisa - zaidi ya miaka arobaini - sabini na tatu sabini na nne
2. Kauli zifuatazo ni kweli au la? Are the following statements true?
Kila kabila ina mchezo wa bao tofauti.
Mashindano ya bao hufanywa kila mwaka.
Mchezo wa bao unaleta umoja na ushirikiano.
Kuna utafiti uliogundua aina zote za mchezo wa bao.
Ni rahisi kucheza bao.
3. Tunza sentensi na maneno haya kuhusu mchezo wa mbao
kumbukumbu - ubunifu - mahesabu - manufaa - sheria
4. Jadili swali hili.
Kuna mabadiliko katika mchezo wa bao?
5. Speaking / kuzungumza
Elezea mchezo muhimu unaoleta watu pamoja katika nchi yako. Peana pia sheria zake.
Describe an important game in your country that brings the people together. Explain the rules of the game.
Comments