Magari ni ndoto kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar
- A. Ferrari ( BBC video)
- 28 avr. 2016
- 1 min de lecture
Msamiati / vocabulary
licha ya: despite
mkazi: inhabitant
serikali: goverment
changamoto: challenge
kipaumbele: priority
ujenzi: construction
hofu: fear
utalii: tourism
utamaduni: culture
takriban: approximately
-haribu: spoil, harm
The adjectif -o-ote means any.
Unataka kitabu kipi? Kitabu chochote.
Which book do you want? Any.
Hatukupata jibu lolote: We didn't get any answer
It has two agreements.
M/WA classes:
mtu yeyote
watu wowote
M/MI classes:
mti wowote
miti yoyote
JI/MA classes
jambo lolote
mambo yoyote
KI/VI classes
kiti chochote
viti vyovyote
I/ZI classes
nyumba yoyote
nyumba zozote
U class
ukuta wowote
Locative classes
popote
kokote
With a negative verb, -o-ote means no.
Hakuna kitabu chochote: there is no book.
Hakuna mtu yeyote: there is nobody
Hakuna (kitu) chochote : there is nothing.
Popote and kokote mean anywhere.
Unataka kwenda wapi? Popote.
Where do you want to go? Anywhere.
English sentences such as "No information is available " will be translated with hakuna + noun + -o-ote+ relative
Hakuna habari yoyote inayopatikana.
A. Tizama video kisha jibu maswali
1. Tumbatu ni nini?
2. Kuna wakazi wangapi Tumbatu?
3. Bi Fatma ana umri gani?
4. Bi Fatma ameshapanda gari?
5. Bi Fatma ameshaona gari?
6. Kwa nini serikali haijengi bara bara katika kisiwa cha Tumbatu.
7. Kwa nini wazee hawataki barabara zijengwe?
B. Fanya utafiti mdogo kuhusu Tumbatu
Comments