

Mahakama ya kadhi / islamic court
Tizama video kisha jibu maswali yafuatayo. 1. Bunge la katiba limekubali kuingiza mahakama ya kadhi katika katiba? a) Sio, haikukubali....


Mbona kuna uhaba wa sukari
Msamiati mfumuko wa bei : inflation uagizaji kutoka nje: import kuuza nje: export biasharanje: export uzalishaji wa ndani : local...


ANGALAU –– INGAWA- INGAWAJE - ANGALI …
Lazima kuwa makini kutochanganya viunganishi hivi ( angalau, ingawaje, angali, ingawa...) na kuvitumia vizuri. 1. Kiunganishi cha angalau...


Mchezo wa bao
1. Sikiliza mwanzo wa video na andika chini nambari hizi zinahusu nini. Listen to the first part of the video and note down what these...


Tohara na Uketetaji
Msamiati: -balehe : reach puberty bikira : virgin hedhi : menstruation imani potofu : myth, distorted belief -keketa : mutilate kinembe :...
TABIANCHI (TABIA YA NCHI) CLIMATE
Sikiliza video kisha jibu maswali yafuatayo: 1 Mabadiliko ya tabianchi ni nini ? 2. Mabadiliko ya tabianchi zinaleta athari/ madhara gani...