TABIANCHI (TABIA YA NCHI) CLIMATE
- A. Ferrari
- 17 févr. 2016
- 1 min de lecture
Sikiliza video kisha jibu maswali yafuatayo:
1 Mabadiliko ya tabianchi ni nini ?
2. Mabadiliko ya tabianchi zinaleta athari/ madhara gani ? Taja mambo matano au zaidi.
3. Kwa maoni yako, kinachotakiwa kupambana na hatari hiyo ni nini ?
Istilahi/ vocabulary
hali ya hewa (halihewa): weather
hewa chafuzi: pollution
hifadhi ya mazingira: environmental protection
ikolojia: ecology
kaboni: carbon
kiangazi: summer, dry season
kimbunga: tornado
kipupwe: winter
kuhifadhi mazingira: to protect environment
kulinda mazingira: environmental protection, to protect environment
kupanda kwa halijoto: global warming
kutabiri hali ya hewa: weather forecast
mabadiliko ya tabianchi: climate change
janga asilia: natural disaster
maendeleo endelevu: sustainable development
majira ya machifuko: spring
Malengo ya maendeleo ya milenia: Millennium Development Goals
masika: raining season
mazingira ya kirafiki: friendly environment
mazingira rafiki: friendly environment
Mradi wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira: United Nations Environment Programme (UNEP)
msimu: season
mtetezi wa mazingira: environmental advocate
mvua: rain
mwanaikolojia: ecologist
nishati hatarishi: non-renewable energy
nishati jadidifu: renewable energy
nishati mbadala: renewable energy
nishati zisizo safi/salama/jadidifu/mbadala: non-renewable energy
nishati ya jua: solar energy
nishati za upepo: wind energy, wind power
nishati: energy
nishatijua: solar energy
ongezeko la joto: global warming
ozoni: ozone
paneli ya jua: solar panel
radi: lightning
rafiki ya mazingira: ecologist
tabianchi / tabia nchi / tabia ya nchi : climate
tetemeko la ardhi: earthquake
theluji: snow
uharibifu wa mazingira: pollution
ukame: drought
umeme maji: hydroelectricity
umeme nuru : solar energy
upepo: wind
urejelezaji: recycling
utabiri wa hali ya hewa: forecast weather
vuli: autumn
Comments