Uchukuzi 1 Foleni / Transport 1 Traffic jam
- A. Ferrari
- 30 mars 2016
- 1 min de lecture
foleni: traffic jam
msongamano wa magari: traffic jam
jinamizi: nightmares
waziri mkuu: Prime minister
kufufua: renovate
binafsi: private
rasilimali: resources
mafuta: petrol
gharam: cost
Tizama mkanda wa video kisha jibu maswali yafuatayo
1. Katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, jinamizi yaani tatizo kubwa ni nini?
2. Kuna magari binafsi ngapi mjini Dar es Salaam?
3. Mtu wa kwanza anayehojiwa anasema inachukua muda gani kufika kazini kwake?
4. Kuna njia gani ya kuepuka foleni?
5. Serikali imechukua hatua gani kupambana na tatizo hilo?
6. Mfumo gani unatarajiwa kuleta afueni kubwa barabarani?
7. Mradi huu utaanzishwa lini?
Kuzungumza/ speaking
Suala la foleni ni tatizo kubwa katika mji unapoishi?
Serikali ya Tanzania inaweza kufanya nini kupunguza tatizo hilo?
Kommentarer