Rechercher
Hali ya hewa / weather
- A. Ferrari
- 28 mars 2016
- 1 min de lecture


Msamiati mwingine/ other vocabulary
anga: sky
kuna baridi: it's cold
kuna joto. it's hot.
mvua inanyesha; it's raining
kivuli: shadow
mwavuli: umbrella
digri: degree
nyota: star
sayari: planet
ikwata: ecuador
halijoto: temperature
unyevu: humidity
ngurumo: storms
utabiri: forecast
Tizama picha na tangaza utabiri wa hali ya hewa/ Look at the picture below and present weather forecast.

Comments