top of page

Moise Katumbi anaweza kuwa rais DR Congo? (level B1- intermediary level)

  • Photo du rédacteur: rekebisho
    rekebisho
  • 20 mars 2016
  • 1 min de lecture

Msamiati:

shabiki (ma-): supporter

bingwa: champion, expert

msururu : series

kusifia: praise

ufanisi: efficiency

madini: minerals

kujiuzulu: to resign

katiba: constitution

mgombea : candidate

kukanusha: deny

muhula: electoral mandate

Kauli hizi ni kweli au la/ Are the following statement true?

1.M. Katumbi anasema kwamba ameshawahi kuchanganya siasa na biashara.

2. Timu la Mazembe lina mashabiki wengi.

3. Moise Katumbi anatoka Kinshasa.

4. Moise Katumbi anataka kugombea urais.

5. Moise Katumbi ni mchezaji wa mpira wa klabu ya Mazembe.

6. Pia yeye ni gavana wa jimbo la Katanga.

7. Rais Kabila kulingana na katiba ya nchi anaweza kugombea tena.


Comentarios


  • Facebook Clean Grey
  • Twitter Clean Grey
  • LinkedIn Clean Grey
bottom of page