Rechercher
AFYA/ HEALTH
- A. Ferrari
- 20 mars 2016
- 1 min de lecture
Msamiati/vocabulary
wizara: ministry
chanjo: vaccination
utashi: will
kipaumbele:priority
kuhamasisha: encourage
kuokoa: save
asilimia: percentage
huduma: service
haki: right
mpango: plan
Fikia kila mtoto! : reach every child!
eneo: location
Tizama video kisha jibu maswali yafuatayo/ Watch the video and answer the questions below.
1. Mwanahabari anahoji nani?
2. Anamhoji kuhusu nini?
3. Waliwezaje kufikia watoto wengi na huduma ya chanjo?
4. Walifikia asilimia ngapi ya watoto nchini Tanzania?
5. Daktari anaona asilimia hiyo inatosha?
6. Watoto ambao hawafikii wanatoka eneo gani?
Comentários