MISEMO NA BAJAJI (A2 - intermediary level)
- A. Ferrari
- 6 mars 2016
- 1 min de lecture
Tizima video kisha jibu maswali yafuatayo/ Watch the video and answer the questions below.
1. Bajaji ni nini?
a) Ni aina ya baisikeli.
b) Ni pikipiki ya kawaida.
c) Ni gari la moshi.
d) Ni pikipiki za matairi matatu.
2. Bajaji zimekuwa ndio usafiri mkubwa mbadala wa umma katika jiji la Dar es Salaam.
a) Si kweli.
b) Kweli
3. Kwa upande mwingine, pikipiki hizi zimekuwa njia mbadala ya kusambaza ujumbe mbaya kwa watu.
a) Si kweli.
b) Kweli.
4. Katika video hiyo, mwandishi wa habari anaongea kuhusu tatizo gani la jiji la Dar es Salaam.
a) Kuna foleni.
b) Kuna magari mabovu.
c) Kuna uchafu wa mazingira.
d) Kuna bajaji zenye misemo.
5. Abuu anafanya kazi gani?
a) Anafanya kazi katika gereji.
b) Ni dereva wa bajaji.
c) Kazi yake ni kuandika misemo.
d) Ni mwandishi wa habari.
6. Kulingana na Abuu, kwanini maisha ni vita?
a) Kwa sababu, binadamu anaweza kufa muda wowote.
b) Kwa sababu katika maisha kuna changamoto nyingi.
Comentarios