COOKING / MAPISHI
- rekebisho
- 29 févr. 2016
- 1 min de lecture
Tizama video kisha jibu maswali yafuatayo. Watch the video and answer the questions below.
1. Mahitaji muhimu kupika vitumbua ni nini?
a) Unga wa mahindi, mchele, yai, chachu.
b) Mchele, mafuta, chumvi, mayai, chachu.
c) Mahindi, mchele, viazi, mayai, chachu.
d)Unga wa ngano, mchele, yai, sukari, chachu.
2. Kupika vitumbua, inabidii uweke kiasi gani ya sukari.
a) kikombe kimoja
b) vijiko viwili.
c) kikombe robo.
d) kikombe nusu.
3. Anatia kiungo gani ?
a) Tangawizi
b) Iliki.
c) Karafuu.
d) Pilipili.
4.Ni lazima kuweka unga wa mahindi?
a) La, si lazima
b) Ndio, ni lazima.
5. Unaweka mchanganyiko wa mahitaji kwa dakika kadhaa kabla kuvipika kwenye jiko ili mchanganyiko uwe laini usiwe mzito.
a) Ndio, lazima mchanganyiko uwe laini.
b) Hapana, lazima mchanganyiko ukae kama masaa mawili mpaka mchanganyiko uwe mzito.
6. Kwa kila kitumbua, anaweka vijiko vingapi vya mafuta?
a) Vijiko vinne.
b) Vijiko viwili.
c) Vijiko vitatu.
d) Kijiko kimoja tu.
Comentarios