JIFUNZE KISWAHILI KUPITIA MUZIKI/ LEARN SWAHILI THROUGH MUSIC
- rekebisho
- 17 févr. 2016
- 2 min de lecture
1. ISTILAHI / VOCABULARY
-chezesha: play, force to play
-chukua: take
foliti refers to a children's game.
kenda (akaenda): then he/she went
magugu: weeds/bush
maiti: corpse
mgeni: guest, foreigner
nae (na yeye): with her/him
-rejeshea: bring back
-tazama: look
-ua: kill
2. WIMBO/ LYRICS
Tazameni tazameni alivofanya Kijiti (X2)
Kumchukua mgeni kumchezesha foliti (X2)
Kenda nae maguguni kamrejesha maiti (X2)
Kamrejesha maiti (X4)
Kenda nae maguguni kamrejesha maiti
Kenda nae maguguni oh oh oh.
3. JIBU MASWALI/ ANSWER THE QUESTIONS BELOW
Kijiti ni nini/nani?
a) Ni mji.
b) Ni mtu mzuri.
c) Ni mnyama.
d) Ni mtu mbaya.
Kijiti alimpeleka mgeni wapi?
a) Alimpeleka maguguni.
b) Alimpeleka mjini.
c) Alimpeleka kwa mama.
d) Alimpeleka kwake.
Halafu, alifanya nini?
a) Alimpa tende.
b) Alimwua.
c) Alirudi nyumbani na yeye.
d) Alimrejeshea mzima.
4. KA TENSE MARKER
The past narrative exists only in the affirmative. The infix KA is placed between the subject prefix and the verb stem.
Nikafanya and I made
Ukafanya and you made
Akafanya/kafanya and he/she made
Tukafanya and we made
Mkafanya and you made
Wakafanya and they made
The past narrative is used for narration. It is usually preceded by a verb in the simple past LI. Most of the time the preposition Na “and” isn’t used.
Nilitoka nyumbani, nikaenda mjini, nikakutana na rafiki, nikarejea nyumbani.
I came out of the house, I went to town and I met a friend, then I came back home.
At the 3rd person of singular, the subjet prefix is often dropped.
Kaenda nae maguguni, kamrejeshea maiti.
He went with her to the bush and brought her back as a corpse.
The infix KA can also be used after an imperative verb. In this case, the last vowel of Bantu verbs will be –E.
Nenda ukanunue matunda.
Go buy fruits!
5. UFASIRI / T
RANSLATION
Tafsiri mistari ifuatayo. Translate the following lines.
Tazameni tazameni alivofanya Kijiti
Kumchukua mgeni kumchezesha foliti
Kenda nae maguguni kamrejesha maiti
Comments